Friday, 29 January 2016

OFISI YA DIAMOND PLATNUMS ALIYO IFUNGUA LEO HII...NZURI SANA

HII NDO OFISI YA DIAMOND PLATNUMS ALIYO IFUNGUA LEO HII...NZURI SANA

12446106_1676170549290934_1789205908_nMama Diamond akiwa kwenye ofisi ya mwanae
Kwa Diamond lakini, hamu yake ya kujibrand kuwa msanii mkubwa na wa kimataifa, imemfanya aamue kuwa na ofisi yenye hadhi yake.
Kupitia Instagram, hitmaker huyo wa ‘Utanipenda’ alishare picha ya kwanza ya ofisi yake ya kuvutia baada ya mama yake kumtembelea.
 
“Guess who Visited in my Office today!…. Mama Platnumz,”
 aliandika

Wema na Idris Wazua Gumzo Mitandaoni

Mbali na ukweli kuwa Wema Sepetu na Idris Sultan ni marafiki tangu zamani, hali imekuwa tofauti kwa hivi sasa ambapo baadhi ya mashabikibi wamekuwa wakiutilia shaka ukaribu wao wakidai kuwa umevuka mipaka na kuwahisi kuwa ni wapenzi.
Mbali na madai kuwa Idris amekuwa akiweka kambi nyumbani kwa wema, Posti za Wema Sepetu kwenye mtandao wa Instagram juu ya Sultan zimekuwa ni moja ya sababu kubwa ya baadhi ya watu kuamni juu ya tetesi hizo za wawili hao kutoka kimapenzi.
Hadi sasa sio Idris au Wema aliyejitokeza na kuthibitisha kuwa wapo kwenye muhusiano.
Hizi ni baadhi ya posti linazo- trend instagram.
wema3451WEMA6321wema6322
Bongo Movies